Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS archive

 
 

 07 November 2007

Dizaini ya uwanja wa Olympic 2012 yazinduliwa

Dizaini ya uwanja wa Olimpik 2012 ya mjini London imezinduliwa rasmi na kamati ya Olimpik. Dizaini ya uwanja huo ambao umeitwa bakuli lililozamishwa au (sunken bowl) ambao una viti 25,000 ambavyo vipo katika upeo uliozamishwa na viti 55,000 ambavyo vipo katika safu ya juu. Jumla ya viti vya uwanja ni 80,000.

Na juu kabisa ni paa ambalo litakinga baadhi ya watazamaji kwenye mvua na jua kali.

Katika viti 80,000 viti 55,000 vitakuwa ni viti vya muda tu ambavyo vitatolewa baada ya olimpik kwisha. Viti 25,000 vitabakishwa katika uwanja huo kwa muda wote wa baada ya olimpik, ambao uwanja huo utatumika kwa michezo tofauti ya mpira wa miguu, matukio ya jumuia na elimu.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©