Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Uchambuzi wa Mwezi na Nyota mbili Dar es Salaam

02/12/2008

Baada ya kuonekana mwezi katikati ya nyota mbili usiku wa kuamkia jana tarehe 31/11/2008 mjini Dar es Salaam, wachambuzi wametoa picha hiyo hapo juu kuonyesha ni vipi hali hiyo ilivyo.

Lakini kama bado kuna uchambuzi zaidi juu ya ishara hiyo, basi tutumie ujumbe ili tuweze kuwajulisha wanaofuatilia picha hiyo.

Bonyeza kwenye picha hapo juu upate kuona kwa karibu kabisa.

Kwa kuangalia habari ya mwezi na nyota hizo, rejea habari ya Zenjydar ya tarehe 31/11/2008 kwa kubonyeza hapa.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©