Kikwete anguruma Doha
03/12/2008

Rais Jakaya Kikwete akihutubia mkutano wa
awali kujadili zahama ya mfumo wa fedha duniani na jinsi ya kugharamia
maendeleo duniani jijini Doha, Qatar.

Rais Jakaya Kikwete akibadilishana mawazo
na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban-Ki Moon na Mwakilishi wa Kudumu
wa Tanzania Umoja wa Mataifa Balozi Augustine Mahiga huko jijini Doha.
|