Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

M.V. MAGOGONI kuanza kazi karibuni

05/12/2008

Kivuko kipya cha M.V. MAGOGONI kitaanza kazi zake za kusafirisha watu, magari na mizigo kwenda na kutoka kigamboni hivi karibuni.

Kivuko hicho kina uwezo wa kubeba abiria 1,000 na magari zaidi ya 50 kwa wakati mmoja. Hatua hii imechukuliwa kurahisisha usafiri wa Kivukoni.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©