Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Albino United yazawadiwa

06/12/2008

Mtangazaji wa idhaa ya Kiswahili ya redio Ujerumani (a.k.a Deutche Welle) Aboubakar Liongo akikabidhi mipira kwa kiongozi wa Albino United. Mipira ambayo kituo hicho maarufu cha redio jijini Dar es Salaam kimejitolea wakati wa mazoezi kiwanja cha Ocean Road.

Picha ya pamoja baada ya makabidhiano katika uwanja wa Ocean Road ambako Albino United hufanyia mazoezi kila siku. Timu hii inajiandaa kupambana na kikosi cha haki ya binadamu hapo desemba 10, 2008 katika uwanja wa taifa katika kusherehekea siku ya haki ya binadamu duniani.

misaada zaidi inahitajika kwa ajili ya timu hii ya Albino United ikiwa ni pamoja na viatu vya kuchezea, jezi na pia kofia (za pama), mafuta ya kuzuia kuungua jua, maji ya kunywa, madawa ya huduma ya kwanza na kadhalika. Kuwasiliana na Albino United, mpigie mratibu Oskar Haule namba +255 716 040 550.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©