Land of Kilimanjaro and
Zanzibar - China
07/12/2008

Banda la maonyesho ya Tanzania nchini
China lilivutia wengi katika maonyesho yaliyofanyika Wuhan, China.

Wageni mbalimbali wakiondoka na kuridhika
kwa matayarisho yaliyofanywa katika banda la Tanzania nchini China.

Vyakula vya kinyumbani pia vilikuwepo
katika moja ya kufanya hafla hiyo iwe nyam nyam.

Ngoma za asili ziliwekwa na wageni pia
waliunga katika kufurahia asili ya Mtanzania katika
maonyesho ya utamaduni yaliyofanyika
Wuhan, China (Mji wenye wanafunzi wengi wa Kitanzania).
|