Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Sherehe za Uhuru Tanzania bara

09/12/2008

Pichani juu sherehe za miaka 47 ya uhuru ambayo yamefanyika uwanja wa taifa ambapo wakubwa mbalimbali walihudhuria wa kutoka bara na visiwani. Sherehe hizo zilikuwa na halaiki ya watoto wa shule wasiopungua 1000, ngoma za asili, majeshi ya Tanzania wakiwemo Wanamaji (Tanzania Navy), na kadhalika.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©