Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Ofisi ya wizara ya utalii yaungua moto

13/12/2008

Msemaji wa wizara ya maliasili na utalii George Matiko akionesha madhara yaliyoitokana na moto baada ya ofisi ya waziri na sehemu ya ofisi ya katibu mkuu kuungua usiku kuamkia leo. Chanzo cha moto inaadhaniwa ni hitilafu ya umeme, na uchunguzi unafanyika na wataalamu kubaini nini hasa kilichosababisha moto huo.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©