Ustadh MBARAK KARAMA
ametutoka
17/12/2008

Tunasikitika kutangaza kifo cha ndugu yetu
Ustadh Mbarak Karama, ambaye amefariki dunia leo asubuhi Jumatano,
tarehe 17/12/2008.
Maziko yatakuwa kesho Alhamisi, tarehe
18/12/2008, makaburi ya Hainault, baada ya swala ya Adhuhur.
Swala ya maiti itakuwa msikiti wa Jam'ia,
East Ham, High Street North, baada ya swala ya Adhuhur (1pm).
Inna lillahi wa inna ilayhi raaji'uun.
Mungu amlaze mahala pema peponi. Amen.
Kwa yeyote atakayependelea kutoa rambi
rambi au msaada wowote, wasiliana na kaka wa marehemu Hafidh Karama
07951957127.
|