Mgonja aachiwa kwa dhamana
19/12/2008

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa
Wizara ya Fedha na Uchumi, Gray Mgonja (katikati) akitoka Mahakama ya
Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam baada ya kupata dhamana katika kesi
inyomkabili ya matumizi mabaya ya ofisi.
KATIBU
MKUU MSTAAFU GRAY MGONJA HATIMAYE AMEACHIWA BAADA YA KUTIMIZA MASHARTI
YA DHAMANA IKIWA NI PAMOJA NA KUWEKA BONDI LA SHILINGI BILIONI 5.9.
MGONJA
AMEWEZA KUTOA HATI ZA NYUMBA NA VIWANJA KADHAA PAMOJA NA GODAUNI ZENYE
THAMANI YA BILIONI 6.1 KAMA DHAMANA NA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI YA
KISUTU IMERIDHIA HATI ZILIZOWASILISHWA NA KUMPA DHAMANA.
|