Kikwete sasa ni Dk. Jakaya
Kikwete
20/12/2008

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kenyatta nchini
Kenya, Dk. Harris Mule akimtunuku Phd ya Heshima Mwenyekiti wa Umoja wa
Afrika Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa mahafali ya 25 ya chuo hicho
yaliyofanyika mjini Nairobi, Kenya jana. Phd hiyo inatokana na jitihada
zake za utatuzi wa migogoro kwa nchi za Afrika hasa mgogoro wa Kenya
uliozuka baada ya uchaguzi mapema mwaka huu.
|