Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

The Original Comedy watembelea London

22/12/2008

PICHANI KUTOKA KUSHOTO: MUJUNI SYLIVESTER (MPOKI), EMMANUEL MGAYA (MASANJA MKANDAMIZAJI), JOSEPH SHAMBA (VENGU), MHESHIMIWA BALOZI MAMA MWANAIDI. S. MAAJAR, LUCAS MHUVILLE (JOTI), ALEX CHALAMILA (MAC-REGAN), NA ISSAYA MWAKILASA ( WAKUVANGA).

THE ORIGINAL COMEDY WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA BALOZI NA MAOFISA WENGINE WA UBALOZINI HAPO.

WASANII WA KUNDI LA VUNJA MBAVU LA THE ORIGINAL COMEDY WAMETUA JIJINI LONDON KWA ZIARA YA SIKU KADHAA NA LEO MCHANA WAMETEMBELEA OFISI ZA UBALOZI.

WAKIWA UBALOZINI HAPO WALIPATA NAFASI YA KUONANA NA KUONGEA NA MHESHIMIWA BALOZI, MAMA MWANAIDI SINARE MAAJAR PAMOJA NA MAOFISA WENGINE WA UBALOZINI HAPO KUHUSU UTENDAJI WAO WA KAZI NA MASUALA MENGINE MUHIMU KWA JAMII.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©