Wapiganaji wa Komoro
watunukiwa shani
23/12/2008

Hawa ni wapiganaji
waliotunukiwa nishani kwa kushiriki katika vita ya kuung'oa utawala usio
wa haki wa visiwa vya Comoros. Toka shoto ni Mroky Mroky wa Habari Leo
na Daily News, Mwintanga wa Zanzibar Leo na Khalfan Saidi wa The
guardian na Nipashe.
|