Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Usalama Dar es Salaam

25/12/2008

Askari wa kikosi Maalum cha kutuliza ghasia (FFU) akiwa kamili kabisa kuhakikisha hali ya Usalama katika moja ya mitaa jijini Dar es Salaam kufwatia sikukuu za Krismas na Mwaka Mpya. Ulinzi umezidi kuimarishwa karibu kila kona ya jiji huku askari wakiwa wamesheheni silaa mbalimbali na nzito kukabiliana na Hali yoyote.

Kwa matayarisho ya ulinzi ya mwaka jana rejea habari za Zenjydar za tarehe 22/12/2007 kwa kubonyeza hapa.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©