Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Bi Mariam ajifungua pacha watatu

27/12/2008

Pichani ni Bi Mariam Rajab mkazi wa Mwanayamala 'A' Dar es Salaam, ni miongoni mwa akina dada waliojaaliwa watoto usiku wa tarehe 24/12/2008. Mariam amejifungua pacha watatu katika Hospitali ya Mwananyamala na yupo katika mtihani mzito wa juu ya kuwalea watoto hao watatu ambao mmoja kati yao ni wa kike.

Kwa mujib wa Mariam anasema aliyempa uja uzito huo alimkana tangu mwanzo na hamjali kwa lolote na familia anayoishi nayo pia ni maskini. Na tangu amelazwa hapo hakuna yeyote aliyefika kumjulia hali na anategemea msaada mkubwa wa wauguzi. Anaomba yeyote aliye na msaada wa aina yoyote kumpunguzia ugumu wa kulea viumbe hivyo visivyo na hatia. Bi Mariam yupo Dar es Salaam lakini habari za mawasiliano hazikupatikana.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©