Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Jihadhari Askari Feki

28/12/2008

Pichani juu ni kijana mmoja aliyekamatwa na polisi jijini Dar es Salaam akijifanya askari wa jeshi la polisi akiwa amevalia magwanda kama aonekanavyo pichani, hali imekua mbaya siku hadi siku kutokana na wimbi kubwa la vibaka wanaovalia nguo sare za jeshi la polisi wakiwa na nia ya kuwatoa wananchi mbalimbali upepo (Hela).

Katika kikao cha waandishi wa habari jijini Dar es Salaam na kamanda wa kanda Maalum Afande Suleiman Kova amewataka wananchi wote kwa ujumla kuwa makini na askari wa aina hii (Matapeli), na pindi ukimtilia mashaka askari yoyote fanya juu chini Ufike nae kwenye kituo chochote cha polisi kilicho karibu nawe.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©