Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Usanifu wa vilemba

30/12/2008

Mke wa Rais wa Msumbiji akimfunga kilemba Mke wa Rais wa Tanzania, Bi Salma Kikwete alipofanya ziara yake nchini Msumbiji hivi karibuni.

Mke wa Rais Salma Kikwete amekua akijizolea sifa kemkem kutoka kila pembe kwa jinsi alivyo makini kwa ufungaji wake wa Vilemba na kugeuka kuwa mtindo maarufu kwa wakinamama wengi mjini.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©