Mjadala juu ya mapigano ya
Kongo (DRC)
02/11/2008

JK
akijadili jambo na Mawaziri wa Mambo ya nje wa Uingereza David Miliband
(kushoto) na Bernard Kouchner (katikati) wakati mawaziri hao
walipomtembelea Rais Kikwete ikulu jijini Dar es salaam leo asubuhi na
kujadili hali ya mapigano Mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
(DRC).

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza
jambo wakati alipokutana na mawaziri wa mambo ya nje wa Uingereza Bwana
David Miliband (kushoto) na Waziri wa Mambo ya nje wa Ufaransa Bwana
Bernard Kouchner ikulu jijini Dar es Salaam kujadili hali ya vita nchini
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na juhudi za kimataifa kutatua mzozo
huo.
|