JK apokea hati za
utambulisho kutoka kwa Mabalozi
04/11/2008

JK
akipokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi mteule wa Sultanate of
Oman mheshimiwa Mratu Yahya Issa Al-bakri leo ikulu, Dar es Salaam.

JK
akipokea hati za utambulisho toka kwa balozi mteule wa Cuba nchini
Tanzania mheshimiwa Ernesto Gomes Diaz ikulu, Dar es Salaam, leo.
|