Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

BARACK OBAMA achaguliwa kuwa rais wa Marekani

05/11/2008

Msururu wa viongozi wa dunia walimsabahi na kumpa hongera Rais mchaguliwa wa Marekani, Barack Obama (Democrat) hii leo katika siku mojawapo ya historia ya dunia kwa kushinda kwake uchaguzi wa kuwa rais wa Marekani baada ya kumshinda bwana John McCain (Republican) kwa kura 365 dhidi ya kura 173.

Kihistoria, Barack Obama ni mtu wa kwanza mweusi kuwa rais wa Marekani (First American Black President), vilevile kihistoria, Barack Obama amekuwa ni rais wa kwanza kusherehekewa dunia nzima na watu wa kutoka makabila mbalimbali na mataifa mbalimbali duniani ni kitu ambacho hakijawahi kutokea kwenye uchaguzi wa urais wa nchi yoyote duniani.

Pichani ni kijana msanii akimalizia mapambo yake katika usanii wake wa maandishi ya mchanga katika ufukwe wa bahari ya Rio De Jeneiro, Brazil.

Kusikiliza hotuba kamili Kwa njia ya TV bonyeza kwenye picha iliyopo hapa chini:


Watch CBS Videos Online

Kwa picha za ukumbusho za Barack Obama, rejea habari ya tarehe 18/02/2008 ya Zenjydar Community Association bonyeza hapa.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©