Karume akagua ujenzi wa
barabara ya Malindi, Zanzibar
07/11/2008

Rais wa
Zanzibar Dk Amani Abeid Karume, (kulia) akipata maelezo kutoka kwa
Mkandarasi wa kampuni ya Carl Bro ya nchini Denmark Ole Alenker,
alipotembelea ujenzi wa Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar, katikati ni
Mkurugenzi wa shirika la Bandari Mustafa Aboud Jumbe.
|