![]() |
|
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Quantum of Solace (007) yatinga Dar es Salaam08/11/2008
Filamu mpya ya 007 James Bond ambayo nyota wake Daniel Craig (pichani) imezinduliwa rasmi hivi leo mjini Dar es Salaam.
Baadhi ya wahudhuriaji wakipata vilaji kabla ya kuingia ukumbini kuona picha hiyo mpya ya 007 James Bond, Quantum of Solace katika ukumbi wa sinema wa Mlimani City usiku huu.
Gadna G. Habash wa Clouds 88.4 FM akila stori na bosi wa uhusiano wa Vodacom, Tanzania, Mwamvita Makamba kabla ya filamu mpya ya 007 James Bond ya Quantum of Solace kuanza kuoneshwa usiku huu kwenye ukumbi wa sinema wa Mlimani City, Dar es Salaam.
Baadhi ya washabiki waliohudhuria katika ufunguzi wa filamu hiyo. Vodacom ndio waliodhamini onesho hilo la kwanza ambapo wadau wake waliingia dezo (bila ya malipo). Kwa kuchungulia kwenye ufa kujua kinachoendelea huko ndani, rejea habari ya Zenjydar ya tarehe 24/01/2008 au bonyeza hapa.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||