Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Rais-mteule Barack Obama atembelea White House

11/11/2008

Rais-mteule wa Marekani Barack Obama alizuru White House jana katika mualiko wa mazungumzo na bwana Bush na matembezi ya kuijua nyumba ambayo anatarajiwa kuhamia mnamo tarehe 20/01/2009 mara tu atakapoapishwa kuwa rais wa 44 wa Marekani.

Rais-mteule wa Marekani Barack Obama akiwa na rais George W. Bush katika ofisi ya rais ya ikulu ya White House ijulikanayo kama "The Oval".

Wakati huo huo, bi Laura Bush alimchukua (soon to be First Lady) Michelle Obama katika kumuonyesha sehemu mbalimbali za nyumba ambayo familia ya Obama wanatarajiwa kuhamia.

Wanyaka-sura na washabiki wakiwa pembezoni mwa White House wakivizia kuwaona Rais na Rais-mteule.

Limuzini ambalo Rais-mteule Barack Obama na Michelle Obama limewabeba, likionekana likivinjari mtaa wa Pennsylvania Avenue, Washington D.C. baada ya kutoka White House.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©