Ajali karibu na bandarini
- Dar es Salaam
12/11/2008

Baadhi
ya wananchi wa eneo la bandari, Kurasini jijini Dar es Salaam kama
walivyokutwa na mpiga picha wakiliangalia lori namba T410 ADR lenye tela
no. T875 AKX likiwa limeanguka chini ya daraja lilipo karibu na lango
kuu la kuingilia Bandarini.
Ajali
hiyo ambayo inasemekana kuwa haikuleta madhara kwa dereva na utingo wake
ilitokea asubuhi hii ya leo.
|