Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

DAR VILLAGE kufunguliwa hivi karibuni

16/11/2008

Kijiji cha biashara kinachosemekana kuwa kikubwa kuliko vyote nchini kinajengwa sehemu za Kijitonyama barabara ya Rose Garden jijini Dar es Salaam.

Wajenzi wa Dar Village wamesema kijiji hicho itakuwa tayari kwa matumizi mwezi Mei 2009. Hii ni moja ya majengo ambayo yatarembesha vitongoji vya Dar es Salaam ambako kwa sasa fasheni ni kujenga kati ya jiji.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©