Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Vikwangua anga (Maghorofa) yapamba Dar es Salaam

19/11/2008

Kiwanja kikiwa katika matayarisho kwa ajili ya kikwangua anga kipya na sasa bado zege na nondo tu. Hapo ni mtaa wa Ohio katikati ya PPF tower na Posta House, kule kushoto ni kikwangua anga kingine ambacho inasemekana kuwa ni moja ya Benki za nje zinazowekeza nchini Tanzania katika jiji kuu la Dar es Salaam.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©