Sehemu za Kihistoria za
Tanzania
23/11/2008

Soko la watumwa lililotumiwa na wakoloni
enzi hizo wilayani Njombe mkoani Iringa. Picha hizi za kihistoria
zimetumwa na mkazi wa wilaya ya Njombe, mkoani Iringa kwa hoja ya utunzi
na matumizi ya sehemu za kihistoria za Tanzania na matumizi yake.

Hii ni picha ya ndani ya mahakama ya
wakoloni iliyopo Njombe, mkoani Iringa.

Picha hii kwa upande mwingine ni jengo la
mahakama iliotumiwa na enzi za wakoloni, imeachwa kama sehemu ya
kihistoria wilayani Njombe, mkoani Iringa.
|