Ofisi ya biashara ya
mafuta
24/11/2008

Waziri wa Nishati na
Madini, William Ngeleja, akifungua ofisi ya Chama cha wafanyabiashara wa
mafuta nchini Tanzania (TAOMAC) iliyopo katika barabara ya Nyerere
jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa chama hicho Krishna
Prasad Rai.
|