Mkutano wa pili wa tume ya
Afrika
25/11/2008

JK akitoka nje ya ukumbi
baada ya kushiriki katika mkutano wa pili wa tume ya Afrika jijini Addis
Ababa, Ethiopia. Kulia kwake ni naibu katibu mkuu wa umoja wa mataifa
Dk. Asha-Rose Migiro na kushoto kwake ni mfanyabiashara Mo Ibrahim,
mwanzilishi wa Celtel ambayo sasa ni Zain.
|