Msimu wa machungwa
27/11/2008

Pichani ni mfanyabiashara katika eneo la
mnada wa Sabasaba Manispaa ya Morogoro akipanga machungwa chini ya ardhi
huku akipingana na utaratibu wa kutofanya biashara ya matunda katika
mnada huo. Machungwa hayo alikuwa yakiuzwa kwa fungu sh 300.
|