Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Gari la taka ni takataka?

28/11/2008

Hivi ni lazima magari ya taka lazima yawe takataka? Asilimia kubwa ya magari ya taka jijini Dar es Salaam ni mabovu mno na yenye kuharibika mara mara kwa mara na kusababisha mandhari na afya ya mji kutokuwa nzuri. Je, hakuna sheria inayoruhusu magari haya mabovu ambayo kama taratibu zikifuatwa hayapaswi kuwa barabarani kwa madhumuni ya kusafisha mji.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©