Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Maajabu ya Johan Lorbeer

30/11/2008

Pichani ni msanii Johan Lorbeer wa Ujerumani ambaye anajiita "Tarzan" kwa sababu ya kuning'inia kwenye ukuta bila ya kizuizi chochote.

Bwana Johan Lorbeer hupendelea kujitokeza kufanya usanii wake sehemu za pirika pirika za watu hasa wakati wa mchana wakati watu wakiwa mbioni na harakati za maisha.

Usanii wake mkubwa wa kuwashangaza watu ni kunasia sehemu ambazo haziwezekani na kushindana na nguvu za mvutano (Gravity Force).

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©