![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
SATNAV ya kwanza duniani02/08/2008
Katika miaka ya zamani kabla ya 'Satellite' hazijavumbuliwa, kulikuwa na GPS au (Global Positioning System) ya mkono ambayo ilivumbuliwa na ilikuwa ikitamba katika mitaa ya London katika miaka ya 1920. GPS hiyo (pichani juu) inaitwa (The Plus Four Wristlet Route Indicator) inavaliwa mkononi kama saa ikiwa na karatasi ya kubandika ambayo imechorwa njia maalum ya mtumiaji. GPS hiyo, ina mikono ya kuzungusha karatasi yenye ramani ambayo inahitaji nguvu, akili ya kuzaliwa na macho ya mtumiaji. Wavumbuzi wa GPS hiyo waliona mbali... Sasa hivi, kuna makampuni zaidi ya 20 duniani kama TOMTOM ambayo inatengeneza 'Navigators' ambazo zinatumia 'Satellite' ikiwa kama ni GPS. Tofauti ya Wristlet Indicator na Satellite, ni kwamba, Satellite zinauwezo wa kuona mbali na kukupa picha kubwa ya mahala ulipo na vilevile kukuchukua mpaka mlangoni mwa unapokwenda. Lakini Wristlet Route Indicator ilikuwa ndio chanzo chake.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||