Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Dk. Shein ahudhuria mkutano Mexico

05/08/2008

Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein (wa kwanza kushoto) na Mkewe Mwanamwema Shein (wa pili Kulia)wakimsikiliza Waziri wa Afya wa Mexico Dk. Jorge Saavedra akitoa maelezo kuhusu kliniki ya wagonjwa wa Ukimwi wakati Dk. Shein alipotembelea kliniki hiyo jana.

Wengine ni Waziri wa Afya Zanzibar Suleiman Mugheri na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Profesa David Mwakyusa(Kulia). Picha na Clarence Nanyaro.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©