![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Rubani mwenye umri mdogo Tanzania07/08/2008
Pichani ni rubani Specioza Rweyemamu wa shirika la Precision Air la Dar es Salaam, ana umri wa miaka 24, kwa sasa anaendesha ndege aina ya ATR 42 zenye uwezo wa kubeba abiria 47, na ATR 72 zenye uwezo wa kubeba abiria 70.
Leo hii amefanya mahojiano Maalum na Gazeti la Habari Leo kwenye Ofisi za magazeti hilo jijini Dar es Salaam. Muda mfupi kabla ya kurudi uwanja wa Ndege wa Mw. Julius Nyerere, akiwa tayari kabisa kupaisha pipa kuelekea Nairobi.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||