Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Mradi wa Wanawake Pemba (Pemba Panorama Project)

16/08/2008

Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mhe. Mwanaidi Maajar, anawakaribisha Watanzania wote na watakaopendelea kujitolea mchango wao katika kusaidia Pemba Panorama Project, Zanzibar, katika hafla itakayofanyika mjini London.

Mchango huu unawagusia Wanawake walio Pemba kujiendeleza kiuchumi na kuinua hali yao ya kimaisha.

Zaidi ya wageni 250 wa kutoka sekta mbalimbali wanategemewa kufika katika hafla hiyo ambayo itafanyika Ijumaa ya tarehe 12/09/2008, saa 7:30pm na kuendelea, Marlborough House, Pall Mall, London, SW1Y 5HY.

Tiketi zinatolewa kwa atakayependelea kujitolea mchango wake kwenye mradi huo:

Tiketi (Kiingilio) £35.00

Wasiliana na:

Amos Msanjila / Idris Zahran – Tanzania High Commission (02075691470)
Mr. Abubakar Faraji - Tanzania Association in UK (07852260024)
Mr. Ali Abdallah - Zanzibar Welfare Association (07853180339)
Mr. Saleh Jaber - Zenjydar Community Association (07886535282)

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©