![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Dereva wa Daladala amziraisha Mwanafunzi17/08/2008
KATIKA hali isiyo ya kawaida mwanafunzi wa shule ya Sekondari Kisutu, Pili Jackson(17, juzi katika majira ya asubuhi alijikuta akipata kipigo ch kumfanya azirai kutoka kwa dereva wa daladala, Michael Hassan (40) wa daladala la safari za Gongolamboto/Kivukoni. Dereva huyo anayeendesha basi nambari T156 ADV aina ya Toyota DCM, alijichukulia sheria mkono majira ya saa mbili asubuhi baada ya kutokea majibizano kati yake na mwanafunzi Pili Jackson, kugombea kukaa eneo la mbele karibu na dereva ambapo hakukuwa na siti zaidi ya benchi dogo. Mwanafunzi huyo alizimia kutokana na kipigo kilichomsababishia kudondokea siti moja ndani ya gari hilo. Pichani juu, dereva Michal Hassan akihojiwa na Waandishi wa Habari.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||