Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Harusi ya Ridhwan Kikwete na Arafa Mohammed

22/08/2008

Mtoto wa Rais Jakaya Kikwete, Ridhwani Kikwete(Kushoto)akiwa katika picha ya pamoja na Mkewe Bi Arafa Muda mfupi baada ya Ridhwani kufunga ndoa katika Ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam leo hii Majira ya alasiri Kuelekea Magharibi.

Bi Salma Kikwete akiwapongeza harusi.

Rais Jakaya Kikwete akimuaga mkwewe Bi. Arafa Mohamed pamoja na mtoto wake Ridhwani Kikwete muda mfupi baada ya mtoto wake kufunga ndoa na Bi Arafa katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam leo majira ya alasiri kuelekea Magharibi.

Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein akimpongeza Ridhiwani Kikwete na Arafa Mohammed kwa kukamilisha kufunga ndoa wakati wa sherehe ya harusi yao.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007