![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Mchango wa shule ya Lumumba - Zanzibar25/08/2008
RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK AMANI ABEID KARUME (KATIKATI) AKISHRIKI MAANDAMANO YA KUCHANGIA SKULI YA SEKONDARI YA LUMUMBA KWA KUTIMIZA MIAKA 50. (KUSHOTO) MAKAMO WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DK. ALI MOHAMMED SHEIN, WAZIRI KIONGOZI WA SERIKALI YA MUUNGANO WA TANZANIA SHAMSI VUAI NAHODHA, (KULIA) YA RAIS, WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI HAROUN ALI SULEIMAN.
BAADHI YA WALIMU WA SKULI MBALI MBALI NA VYUO WAKISHIRIKI MAANDAMANO YA KUCHANGIA SKULI YA SEKONDARI YA LUMUMBA KWA KUTIMIZA MIAKA 50 TOKEA KUANZISHWA KWAKE.
WANAFUNZI WA SKULI YA SEKONDARI YA LUMUMBA WAKISHIKILIA BANGO LENYE UJUMBE, "LUMUMBA NI CHEMCHEM YA WASOMI KWA MAENDELEO YA ZANZIBAR", WAKATI WA SHEREHE YA KUTIMIZA MIAKA 50 YA SKULI HIYO.
RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK AMANI ABEID KARUME (KATIKATI) AKIZUNGUMZA NA WALIMU NA WANAFUNZI WA SKULI YA LUMUMBA KATIKA KUTIMIA MIAKA 50 YA SKULI HIYO, (KUSHOTO) MAKAMO WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DK ALI MOHAMMED SHEIN, NA WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI HAROUN ALI SULEIMAN.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||