Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Ajali ya BASI - Morogoro

28/08/2008

Basi la kampuni ya Kimambo lenye namba za usajili (T268 AQM) lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, likiwa miguu juu baada ya kuanguka jirani kabisa na uwanja wa maonyesho ya wakulima (nane nane). Habari zilizopatikana eneo la tukio zilidai kwamba chanzo cha ajali hiyo ni askari wa usalama barabani kuisimamisha ghafla gari ndogo aina ya Toyota Baloon. Watu wawili walikufa papo hapo na wengine kujeruhiwa vibaya.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©