![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Kikwete atembelea Marekani30/08/2008
JK na mwenyeji wake Rais George Bush wa Marekani wakiwa katika mazungumzo ofisini kwa Rais Bush, Oval office iliyopo ikulu ya Marekani (White house) jijini Washington D.C Ijumaa asubuhi.
Mke wa Rais Salma Kikwete (kushoto) akiwa na Mke wa Rais wa Marekani Laura Bush kwenye ikulu ya nchini hiyo The White House alipomtembela Laura jana. Rais Kikwete na Mkewe wapo nchini Marekani kwa Mwaliko Rasmi wa Rais George Bush.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||