Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Kaseba atetea mkanda wake

01/07/2008

Bingwa wa Dunia wa mchezo wa Kick Boxing, Joseph Kaseba (katikati) akipongezwa na baba yake mzazi Lazaro Kaseba Matete kulia pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abass Kandoro (kushoto) baada ya kutetea mkanda wake wa WKC katika mchezo uliofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar hivi karibuni. Kaseba alimshinda mpinzani wake Ricky Agayas wa Ufilipino katika raundi ya pili ya mchezo.

Bingwa wa Dunia wa mchezo wa Kick Boxing Joseph Kaseba, akiwa na mkanda wa ubingwa wa dunia unaotambuliwa na Chama cha Kick boxing Ulimwenguni (WKL), mara baada ya kumdunda mpinzani wake, Ricky Agayas kutoka Ufilipino katika raundi ya pili, katika ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©