![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Daily News na Habari Leo yachukua nafasi ya tatu Sabasaba02/07/2008
Kaka Michuzi (mbele kulia) akiwa na wadau katika banda lao la Daily News na Habari Leo wakijidai na cheti cha uthibitisho chao cha ushindi wa tatu katika nyanja ya uchapaji waliyoshinda kwenye maonesho ya 32 ya biashara (SABASABA) ambapo panapo majaaliwa mwakani wamepania kubeba nafasi ya mwanzo ambayo mwaka huu imechukuliwa na ofisi ya takwimu ya taifa.
Cheti cha uthibitisho.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||