![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Sabasaba 2008 Kumekucha!!!05/07/2008
Maonyesho ya sabasaba jijini Dar es Salaam ya mwaka huu yamekithirisha mapambo na miundo mbinu ya ndani ya sabasaba kama ionekanavyo pichani. Kwa wengine waliofika wameielezea kuwa sabasaba ya safari hii haikuwa na watu wengi kama kawaida. Kama umefika na umepiga picha mbili tatu, basi tutumie na tutaziweka kwenye mtandao.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||