Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Maziko ya baba yake Malik (LIKI)

07/07/2008

Bitebo (kulia) akimpa pole Dk. Liki (kushoto), hawa ni ndugu wa karibu na wamekua pamoja tangu utotoni.

Dk. Liki akiwa na waliohudhuria katika maziko hayo, akiwemo Kaka Michuzi (kulia).

Dk. Liki akipewa pole na mchezaji mkongwe wa soka enzi hizo Rashid Seif (kati) na mzee mwingine wa mjini.

Dua wakati wa mazishi ya mzee Abdallah.

Maziko hayo ambayo yalikuwa mchana wa jana tarehe 06/07/2008 katika makaburi ya Kisutu, yamehudhuriwa na watu mbalimbali wanaomjua Liki na baba yake na wengine walioona ni wajibu kufika hapo.

Mzee Abdallah ni baba mzazi wa mchambuzi maarufu wa soka nchini, Dk. Liki Abdallah na kepteni Azizi Abdallah. Mzee Abdallah amefariki tarehe 05/07/2008 nyumbani kwake Shariff Shamba, Ilala, Dar es Salaam.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©