Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

MWIZI - mpaka waishe!!!

11/07/2008

Kijana aliyelala hapo chini aliipata joto ya jiwe alipokwapua cheni kwa mama mmoja karibu na jengo la PPF Tower na kukumbana na kundi lenye hasira kali na kumshushia kipondo kama uonavyop pichani, huku wengine wakisema "ooh tumewachoka hawa wamezidi sana na mpaka waishe!",lakini hata hivyo kibaka huyo aliokolewa na askari wa kampuni ya ulinzi na kuchukuliwa hatua zaidi za kisheria baada ya watu kuchukua sheria mkononi.

Mama huyu atauwa!!!

Siku zake bado zipo.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©