![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Mama ANISA AWADH12/07/2008
Familia ya mzee Raza wa Mwenge, Dar es Salaam, inasikitika kutangaza kifo cha mama yao ANISA AWADH kilichotokea usiku wa siku ya Ijumaa, tarehe 11/07/2008 huko huko Mwenge, Dar es Salaam. Maziko yamefanyika tarehe 12/07/2008, katika makaburi ya Kisutu baada ya sala ya Alasir. Mungu amlaze mahala pema peponi. Amen.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||