Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Kikwete afungua miradi ya maendeleo Tanga

17/07/2008

JK akiweka jiwe la msingi katika sekondari ya Kidato cha tano na Sita ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere inayojengwa huko wilaya ya Korogwe mkoani Tanga jana. Akiongea na wananchi wa Korogwe Mara tu baada ya ufunguzi huo Rais Kikwete amewahimiza kujenga hosteli hususan kwa wanafunzi wa kike ili kuwapatia mazingira bora ya kufanya vizuri katika masomo.

JK akijiandaa kukata mkonge muda mfupi baada ya kuzindua uzalishaji wa nishati ya gesi inayotokana na zao la Mkonge katika kiwanda cha Katani limited kilichopo Hale, wilaya ya Korogwe mkoani Tanga. Rais Kikwete yupo mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi kukagua na kufungua shughuli za maendeleo.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©