Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Mashindano ya Ngalawa - Zanzibar

19/07/2008

NAIBU WAZIRI KIONGOZI NA WAZIRI WA HABARI, UTAMADUNI NA MICHEZO ALI JUMA SHAMUHUNA, AKIMKABIDHI MSHINDI WA KWANZA WA RESI ZA NGALAWA SHOO, KHAMISI, BAADA YA NGALAWA YAKE KUSHINDA NAFASI YA KWANZA KATIKA SHEREHE ZA UZINDUZI WA TAMASHA HILO YALIOFANYIKA KATIKA UFUKWE WA FORODHA MCHANGA.

BAADHI YA NGALAWA ZILIZOSHIRIKI MASHINDANO YA RESI ZA NGALAWA ZIKIWASILI KATIKA UFUKWE WA FORODHA MCHANGA ZIKIWA ZIMECHUKUWA NAFASI ZA PILI NA TATU KATIKA MASHINDANO HAYO YALIOZISHIRIKISHA NGALAWA KUMI NA TISA.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©