![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Kikwete akutana na Mkongwe wa Korogwe21/07/2008
JK alisalimiana na Bibi Makihiyo Baluah anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 102 wakati alipomtembelea bibi huyo nyumbani kwake mjini Korogwe wakati wa ziara yake mkoani Tanga. Bibi Baluah ni mke wa hayati Mzee Baluah ambaye alikuwa rafiki yake hayati Mzee Mrisho Kikwete, baba yake JK, ambaye yupo mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi kukagua na kufungua miradi ya maendeleo.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||